Haya ndio walioshinda tuzo za mwezi August ligi kuu Uingereza - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Haya ndio walioshinda tuzo za mwezi August ligi kuu Uingereza

Katika tuzo ambazo zinatolewa kila mwezi katika ligi kuu nchini Uingereza za mchezaji bora wa mwezi,goli bora la mwezi na kocha bora wa mwezi,tayari zimeshatangazwa na chama cha soka nchini humo FA.



Katika tuzo zilizotoka msimu uliopita tulimuona mfungaji bora wa ligi hiyo msimu uliopita mchezaji wa Liverpool na taifa la Misri Mohamed Salah,aliweza kushinda tuzo za mchezaji bora wa mwezi alishinda mara tano lakini awamu hii mchezaji huyo hajafakiwa kupata tuzo hata moja.



Mapema leo chama hicho cha soka nchini humo limewatangaza wachezaji wafuatao kushinda tuzo hiyo:-Mchezaji bora wa ligi kuu nchini Uingereza mwezi huu August ameweza kushinda Mbrazil wa kwanza kuweza kushinda tuzo hiyo pia mchezaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs Lucas Moura,ambaye alifanikiwa kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Spurs kufunga magoli mawili katika uwanja wa Old Trafford.



Pia mchezaji aliyefunga goli bora la mwezi ni mchezaji wa klabu ya Fulham Jean Michaël Seri raia wa Ivory Cost ambaye goli lake alifunga... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More