Haya Ndiyo Mambo Matano Muhimu Ya Kujifunza Kila Juma Kwa Mwaka Mzima Ili Ufanikiwe Sana. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Haya Ndiyo Mambo Matano Muhimu Ya Kujifunza Kila Juma Kwa Mwaka Mzima Ili Ufanikiwe Sana.

Rafiki yangu mpendwa, Aliyekuwa mwandishi na mhamasishaji maarufu Jim Rhon amewahi kunukuliwa akisema, mafanikio huwa yanaacha alama, kama utafanya kile ambacho waliofanikiwa wanafanya, na wewe lazima ufanikiwe. Huu ni ukweli usiopingika kwamba mafanikio huwa yanaacha alama, mafanikio siyo siri, mafanikio yapo wazi kabisa kama tutakuwa tayari kujifunza kupitia wale waliofanikiwa na kupiga hatua zaidi. Lakini... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More