HAZARD APIGA HAT TRICK CHELSEA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 4-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HAZARD APIGA HAT TRICK CHELSEA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 4-1

Edin Hazard akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Chelsea dakika za 37, 44 na lingine kwa penalti dakika ya 80 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Cardiff City leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Willian dakika ya 83 baada ya Cardiff kutangulia kwa bao la Souleymane Bamba dakika ya 16  ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More