Hazard ni shida Stamford Bridge - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hazard ni shida Stamford Bridge

Baadhi ya mashabiki waaamini kwamba Hazard hatasaini dili jipya kwenye timu yao, isipokuwa ataendelea kubaki hapo Stamford Bridge ili kuokoa Pauni 100 milioni za Real Madrid, ambapo atakapokwenda kujiunga nao bure mwishoni mwa msimu ujao atakwenda kulipwa mshahara mara mbili ya kiwango anachovuna kwa sasa kwenye kikosi cha The Blues.


Source: MwanaspotiRead More