He! Mwaikimba bado tu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

He! Mwaikimba bado tu

Unamkumbuka Gaudence Mwaikimba? Ndio yule straika matata wa zamani wa Yanga, sasa kwa taarifa yako jamaa bado analipiga gozi la ng’ombe na msimu ujao atakuwa akichana nyavu kwenye Ligi Daraja la Kwanza akiwa na Boma FC.


Source: MwanaspotiRead More