He! Torreira naye kashtua mapema tu Emirates - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

He! Torreira naye kashtua mapema tu Emirates

ARSENAL imekumbwa na hofu kubwa kuhusu supastaa wake mpya kiungo, Lucas Torreira juu ya afya ya mchezaji huyo kama ipo fiti kufuatiwa kutolewa uwanjani mapema sana alipokuwa akiitumikia Uruguay.


Source: MwanaspotiRead More