Hebu ona hii timu ya fainali - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hebu ona hii timu ya fainali

Ufaransa na Croatia zimeingia fainali ya Kombe la Dunia na tayari majina makubwa yamejitokeza. Kylian Mbappe, Luka Modric, Antoine Griezmann na Mario Mandzukic wamezibeba timu zao kiasi cha kuzipeleka fainali.


Source: MwanaspotiRead More