Heels ni Kipaji ,Kristen Stewart zamshinda na kuamua kutembea peku kwa red carpet - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Heels ni Kipaji ,Kristen Stewart zamshinda na kuamua kutembea peku kwa red carpetShe wore Chanel 2013 couture but this time yeye akalikata gauni lake likawa short


Kristen Stewart huwa heels zimemshindaga kabisa ,anajitahidi kuvaa akipigwa zake tu picha anavua na kutembea peku.Hapa kapendeza but am sure kichwani alikua anawaza namaliza saa ngapi nivue hivi viatuThese she goes ,kwanini umfurahishe shetani wakati kiti anaumia
Alichoka sana huyoooo


 
 ... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More