Hekalu la Samatta linasajili Simba yote - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hekalu la Samatta linasajili Simba yote

KAMA utaamua kubisha utakuwa ni tabia yako tu, lakini straika wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, sio mtu wa mchezo mchezo kabisa. Unajua nini? Msimu uliopita Simba ilipiga kelele sana juu ya kikosi chao cha Sh1.3 bilioni, lakini sasa ukisikia habari ya mjengo wa nyota huyo wa kimataifa wa Tanzania utajua kuna tofauti ya tui na maziwa, licha ya kufanana rangi.


Source: MwanaspotiRead More