HELIKOPTA YA JWTZ YASAFIRISHA WAGONJWA WA AJALI YA MOTO KWENDA MUHIMBILI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HELIKOPTA YA JWTZ YASAFIRISHA WAGONJWA WA AJALI YA MOTO KWENDA MUHIMBILI

Akizungumzia hali za wagonjwa wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Dkt. Elisha Esati amesema wagonjwa waliohamishiwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili ni wameungua Zaidi ya asilimia 80 mpaka 90 na wengi wao ni vijana.
Helikopta ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, ikitua viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo Agosti 11, 2019 ikileta majeruhi wane wa ajali ya moto uliosababishwa na mlipuko wa lori la mafuta mkoani Morogoro Jumamosi Agosti 10, 2019.Wafanyakazi wa afya, wakimshusha majeruhi kutoka kwenye helikopta hiyo.Msemaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Bw., Aminieli Eligaesha, akizungumza na simu katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kuisubiri helikopta ya JWTZ iliyoleta majeruhi wane wa ajalki ya moto.Daktari Bingwa wa magonjwa ya dharura wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Juma Mfinanga (kushoto), akiwapa maelekezo wahudumu wa afya wanaosubiri helikopta kutua viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam Agosti... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More