Helios Towers, wamiliki na waendeshaji minara Afrika sasa kwenye soko la hisa Uingereza. - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Helios Towers, wamiliki na waendeshaji minara Afrika sasa kwenye soko la hisa Uingereza.

Kampuni ya Helios Towers, inayojihusisha na uwekazaji na usimamiaji wa minara ya mawasiliano ya simu barani Afrika yajiingiza rasmi kwenye soko la hisa la jijini Landani, Uingereza. Kampuni ya Helios Towers inamiliki na kusimamia minara katika mataifa mbalimbali Afrika na hii ni pamoja na; Kongo (DRC), Ghana, Afrika Kusini na Tanzania. Helios wamerahisisha uwekezaji wa [...]


The post Helios Towers, wamiliki na waendeshaji minara Afrika sasa kwenye soko la hisa Uingereza. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More