HEMED KHATIB MGANGA: BAJAJI YA SPORTPESA IMEAMSHA TENA NDOTO ZA MAISHA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HEMED KHATIB MGANGA: BAJAJI YA SPORTPESA IMEAMSHA TENA NDOTO ZA MAISHA

KUNA wakati ili ndoto zako zitimie unahitaji mtu wa kukushika mkono ili kukusaidia kuzitimiza. 
Sportpesa ilipokuja na mkakati maalumu wa kuinua na kubadilisha maisha ya watu ilikuwa na maana ya kuwashika mkono na kuwasaidia kufikia ndoto zao. 
Haikuwa rahisi sana kuamini kwamba *150*87# ni mkono mrefu wa Sportpesa kuwezesha wengine kufikia ndoto zao. 
Hemed Khatib Mganga anathibitisha kwamba Sportpesa ni rafiki wa kweli aliyemshika mkono na kumsaidia kufikia ndoto zake, hii ni baada ya kujishindia bajaj mpya aina ya TVS king kutoka sportpesa iliyomuwezesha kununua kiwanja tayari kabisa kwa ujenzi wa nyumba yake baada ya ile ya awali kubomolewa. 

Haikuishia hapo, bali Hemed anasema ameweza hata kuwalipia ada za shule watoto wake kupitia bajaj hii. 
Bado Sportpesa imeendelea kuuthibitisha ubora na ukaribu wake kwa wateja kwa kuinua maisha yao kwa njia rahisi... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More