HESLB YATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HESLB YATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) imekutana na wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Akizungumza leo Dar es Salaam na wanafunzi hao katika chuo hicho Meneja wa Upangaji Mikopo wa Bodi hiyo Julitha Miyedu amesema kuwa taratibu za kuomba mikopo ziko wazi kutokana na vigezo na masharti vilivyoanishwa na kwamba bodi hiyo ipo kwa ajili ya wanafunzi kwa lengo la kuhakikisha kila mwenye vigezo vya mikopo anapata kwa wakati ili kuwezesha wanafunzi wasifikirie suala fedha katika kufanya mahitaji.
Miyedu elimu wanayoitoa ya mikopo ni endelevu katika kuhakikisha kila mwanafunzi anapata uelewa wa bodi inavyochakata mikopo kwa wanafunzi kwa kutumia vigezo vilivyoainishwa.“Haachwi mtu kwenye suala la utoaji mikopo ikiwa nia ya bodi kuona kila mtu anapata mkopo kutokana vigezo vilivyoanishwa katika kuijenga nchi yetu na mikopo huyo kwa wanuif... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More