HIFADHI YA MSITU WA NORTH EAST MPANDA, TONGWE NA MAPOROMOKO YA NKONDWE MKOANI KATAVI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HIFADHI YA MSITU WA NORTH EAST MPANDA, TONGWE NA MAPOROMOKO YA NKONDWE MKOANI KATAVI


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na uongozi wa wilaya ya Tanganyika alipotembelea wilaya hiyo jana wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhifadhi mkoani Katavi. Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Salehe Mbwana Mhando.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akioneshwa ramani ya Hifadhi ya Msitu wa North East Mpanda alipotembelea msitu huo jana kwa ajili ya kuimarisha uhifadhi.Waziri wa Maliasili na Utalii, Kigwangalla akikagua moja ya eneo la chanzo cha maji yanayozalisha Maporomoko ya Nkondwe katika wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi jana, maji hayo yanapita chini ya miamba (mawe) inayoonekana. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Salehe Mhando. Waziri Kigwangalla akivuka kigingi alipokua akienda kuangalia maporomoko ya Nkondwe.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wakikagua eneo la Msitu wa Hifadhi wa North East Mpanda ambao pia una kivutio cha utalii cha Maporomoko ya Nkon... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More