Higuain atoswa Chelsea, arudishwa Juve - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Higuain atoswa Chelsea, arudishwa Juve

CHELSEA haina mpango wa kuongeza muda wa mkopo wa Gonzalo Higuain na itamrudisha klabu yake ya Juventus baada ya Fainali ya Europa League itakayopigwa Mei 29 dhidi ya Arsenal huko Baku katika dimba la Baku Olympic.


Source: MwanaspotiRead More