Hii Hapa Ni Fursa Kubwa Ya Wewe Na Wengine Kupata Mafunzo Zaidi Kutoka Kwa Kocha Dr Makirita Amani. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii Hapa Ni Fursa Kubwa Ya Wewe Na Wengine Kupata Mafunzo Zaidi Kutoka Kwa Kocha Dr Makirita Amani.

Rafiki yangu mpendwa, Nipende kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa namna ambavyo tumeendelea kua pamoja kwa miaka yote ambayo nimekuwa natoa huduma hii ya mafunzo na hamasa kwa ajili ya kupiga hatua zaidi kwenye maisha yetu. Kwa kipindi kirefu, miaka zaidi ya mitano sasa, msingi mkuu wa masomo haya umekuwa kupitia mtandao wa intaneti. Hivyo mafunzo... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More