Hii ndio first eleven ya Brazil Kombe la Dunia 2018, Firmino na Silva Out !!! - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii ndio first eleven ya Brazil Kombe la Dunia 2018, Firmino na Silva Out !!!

Bado miezi kadhaa tuweze kushuhudia fainali za michuano ya Kombe la dunia itakayofanyika nchini Urusi kuanzia mwezi June 2018, kocha wa timu ya taifa ya Brazil Tite kuelekea fainali hizo ametangaza kikosi chake cha kwanza yaani first eleven. Kocha Tite mwenye umri wa miaka 56 ameweka wazi kuwa staa wa Liverpool Roberto Firmino hana nafasi […]


Source: Millard AyoRead More