HII NDIO MIWANI YA MAMILIONI ANAYOVAA VANESSA MDEE KWA SASA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HII NDIO MIWANI YA MAMILIONI ANAYOVAA VANESSA MDEE KWA SASA

Vee Money
Macho ya Vanessa Mdee yamepambwa na mamilioni ya pesa, kwenye picha hii ametupia miwani aina ya Linnetto Square kutoka kampuni ya DITA EYE WEAR ambapo bei yake ni (£483) sawa na Tsh milioni 1.4. 


Siku chache nyuma Vanessa aliungana na mastaa wengine wakubwa wa dunia kama Cardi B na Kylie Jenner kuvalishwa na kutangaza mavazi ya kampuni ya Fashion Nova. ... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More