Hii ndio njia mwafaka kutatua shida za Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii ndio njia mwafaka kutatua shida za Yanga

KLABU ya Yanga ni moja ya klabu kongwe kwenye soka hapa nchini, ilianza kuzaliwa kuliko Simba. Yanga ilianzishwa mwaka 1935 wakati Simba wao wakizaliwa mwaka uliofuata 1936. Mwaka mmoja mbele unatosha kabisa kuwa ni kubwa kuliko watani wao ambao sasa wanajivunia mafanikio makubwa waliyoyafikia hata kama bado hayajaanza kuwalipa.


Source: MwanaspotiRead More