Hii ndio orodha ya washindi wa tuzo za Grammy alfajiri ya leo, Drake awawashia moto waandaji licha ya kupata tuzo (+ Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii ndio orodha ya washindi wa tuzo za Grammy alfajiri ya leo, Drake awawashia moto waandaji licha ya kupata tuzo (+ Video)

Ikiwa ni mara ya 61 tuzo hizi kufanyika nchini Marekani, kuna orodha kubwa ya wasanii walioshinda tuzo za Grammy na kuna wasanii waliokuwa kivutia katika tuzo hizo. Drake na Cardi B ndio walikuwa gumzo zaidi huku Cardi B akishinda tuzo na Drake akiondoka na tuzo lakini walikuwepo wengi walioshinda tuzo tofauti tofauti.

Mbali na hilo Drake amekuwa sio mtu wa kutokea kupokea tuzo mara kwa mara lakini akitokea ni lazima aache historia, leo amekuwa gumzo kwa kuwachoma Grammy!

Hakuna mtu ambaye alikuwa anafahamu kama Drake yupo ukumbini, baada tu ya kutajwa alipanda kwa surprise kupokea tuzo yake ya wimbo bora wa Hip Hop (God’s Plan) kisha kutoa hotuba fupi ambayo ililenga kuwapa moyo vijana wadogo lakini iliwachoma waandaaji wa tuzo hizo kiasi cha kumkatisha“Tambua tayari umeshinda kama una watu ambao wanaimba nyimbo zako neno kwa neno, kama wewe ni shujaa kwenye mji wako, kama kuna watu ambao ni wavuja jasho wanakuja kununua tiketi za show yako. Huitaji kuwa na hii hapa (... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More