Hii Ndiyo Haki Ambayo Hupaswi Kumnyima Mtoto Wako - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii Ndiyo Haki Ambayo Hupaswi Kumnyima Mtoto Wako

Mpendwa rafiki yangu, Sheria zimewekwa kwa ajili ya kulinda haki za kila mmoja wetu, ziko sheria za kibinadamu na hata za wanyama pia. Changamoto ya wazazi wengi katika karne hii ni malezi ya watoto. Watoto wanakosa malezi bora pamoja  na misingi sahihi ya kuishi. Wako wazazi ambao wanawanyima watoto baadhi ya haki na hii inawapelekea... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More