Hii Ndiyo Kanuni Rahisi Itakayokuwezesha Wewe Kupata Chochote Unachotaka. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii Ndiyo Kanuni Rahisi Itakayokuwezesha Wewe Kupata Chochote Unachotaka.

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye kuongeza kipato na hata mafanikio kwa ujumla, tunatumia kanuni ya asili ya kilimo. Kwamba huwezi kuvuna kabla hujapanda. Mkulima yeyote mwenye akili timamu, anajua ya kwamba ili aweze kuvuna mazao mazuri, lazima awekeze kwanza. Lazima aweke nguvu kuandaa shamba, lazima aweke mbegu, lazima ahudumie mimea hiyo na ndiyo mwishoni aweze kuvuna.... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More