Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Wewe Kuacha Alama Hapa Duniani Na Kuishi Milele Hata Baada Ya Kufa Kwako. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Wewe Kuacha Alama Hapa Duniani Na Kuishi Milele Hata Baada Ya Kufa Kwako.

Rafiki yangu mpendwa, Mtu mmoja aliwahi kunukuliwa akisema duniani kuna watu wa aina ya tatu, Aina ya kwanza ni watu ambao wanasababisha vitu kutokea, hawa ni watu wanaozalisha vitu, wanaoleta mabadiliko, ambayo wengi wanayafurahia sana. Aina ya pili ni watu ambao wanashangaa vitu kutokea, hawa ni walaji wa vile vinavyotengenezwa na wale wanaosababisha vitu kutokea.... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More