Hii ndiyo rekodi ya Amunike ndani ya Taifa Stars na mambo 10 muhimu usiyofahamu - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii ndiyo rekodi ya Amunike ndani ya Taifa Stars na mambo 10 muhimu usiyofahamu

Shirikisho la soka nchini, TFF Agosti 6 mwaka huu lilimtambulisha aliyekuwa mchezaji wa taifa wa Nigeria, Emmanuel Amunike kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars.Amunike ambaye ni winga wazamani wa klabu ya Barcelona ametua Stars akirithi mikoba ya Salum Mayanga.


Stars chini ya Amunike imeshuhudiwa ikikubali kipigo cha bao 1 – 0 dhidi ya Lesotho matokeo ambayo yamewanyong’onyesha Watanzania katika kutafuta nafasi ya kufuzu michuano ya Afcon hapo mwakani yatakayofanyika Cameroon kufuatia kuwa na nafasi finyu ya kusonga mbele.


Rekodi ya Emmanuel Amunike tangu kukakibidhiwa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ mwezi wa Agosti mwaka huu.Katika mechi yake ya kwanza Amunike alifanikiwa kutoka sare tasa ya bila kufungana 0 – 0 dhidi ya Uganda maarufu kama The Cranes ambao walikuwa nyumbani.


Stars iliyopo kundi ‘L’ chini ya Mnigeria huyo ilijikuta ikipata kipigo cha mabao  3 – 0 mbele ya Cape Verde ugenini.


Amunike akiwa na vijana wake wa Stars kwenye dimba la taifa aliweza kufuta uteja... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More