Hii Ndiyo Sababu Kubwa Kwa Nini Unapaswa Kuuanza Mwaka 2020 Mapema Kabisa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii Ndiyo Sababu Kubwa Kwa Nini Unapaswa Kuuanza Mwaka 2020 Mapema Kabisa.

Rafiki yangu mpendwa, Tafiti nyingi zinaonesha hakuna kipindi kibaya kwako kuweka malengo kama kipindi cha mwaka mpya. Zile tarehe za mwanzo za mwaka ambapo kila mtu anaimba mwaka mpya mambo mapya ni wakati mbovu sana kwako kujiwekea malengo. Kwa sababu sehemu kubwa ya malengo utakayojiwekea kipindi hicho, yanakuwa siyo malengo yako halisi, badala yake yanaathiriwa […]


Source: Hisia za MwananchiRead More