Hii Simba hii haponi mtu taifa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hii Simba hii haponi mtu taifa

Napenda kuwapa pongezi kubwa Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Simba, kwa kuanza kampeni zao za hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura, ya nchini Algeria.


Mchezo ulikuwa wa kuvitia sana kwa pande zote mbili Algeria, walianza kwa presha kubwa sana huku wakiamini wataweza kuivuruga mipango ya Simba.


Simba walijaribu kuwasoma wapinzani wao jinsi wanavocheza ukiangalia katika idara ya Kiungo Simba, muda mwingi walitawala mchezo uwiano wa ule utatu wa hapo kati ulikuwa umeleta mafaa sana ukimuangalia Kotei, Mkude, na Chama, kila mchezaji alikuwa anafanya jukumu lake.


Historia ya Simba hatua ya makundi
Mechi 7
Magoli ya kufunga 10
Magoli ya kufungwa 10
Clean sheets 3


Eneo la Kiungo mkabaji muda mwingi Kotei alikuwa akicheza chini sana kuwalinda mabeki huku wakiamini Js Saoura, ni wazuri kwenye kushambulia kwa mpira ya kushtukiza kutoka nyuma kwenda mbele Mkude, alikuwa anafanya kazi moja kuchukua mpira na kumpa Chama, kupandisha mashambulizi nidhamu ya mchezo kwa ... Continue reading ->
Source: Shaffih DaudaRead More