Hijabi Olympian Ibtihaj Muhammad at the ESPY Awards Red Carpet - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hijabi Olympian Ibtihaj Muhammad at the ESPY Awards Red Carpet

Ibtihaj Muhammad ni Mwanamichezo ambaye ni Sabre fencer wa kule Marekani,ni mwanamke wa kwanza kuvaa hijab akiwa kwenye mashindano ya Olympics ya mwaka 2016 kwenye summer Olympics .Alishinda bronze Award na aliweka historia ya kua mwanamke wa kwanza wa kiislam kupata medali kwenye Olympics.


Ali attend kwenye Awards za ESPY Excellence in Sports Performance Yearly Award akiwa kavaa a cute floral dress na hijab nyeusi.


she wore a Jovani Fashion dresslove the train


who said ukiwa hijabista huwezi pendeza ??... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More