Hiki ndicho alichokishutumu Obama kutoka kwa Trump akiuita ni “Upuuzi unaotoka White House” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hiki ndicho alichokishutumu Obama kutoka kwa Trump akiuita ni “Upuuzi unaotoka White House”

Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama amemshutumu mrithi wake Donald Trump na mambo ya ‘kipuuzi yanayotoka’ katika ikulu ya Whitehouse. kwa kusema ”Hii sio kawaida huu ni wakati usio wa kawaida na ni wakati hatari”, Obama aliwaambia wanafunzi katika chuo kikuu cha Illinois. Alitaka kurejeshwa kwa uaminifu na heshima na sheria kufuatwa katika serikali, Rais huyo wa zamani amekuwa akifanya mambo yake kwa siri tangu alipoondoka mamlakani 2017.Bwana Obama aliambia sherehe hiyo ya kuwatuza wanafunzi mjini Urbana jimbo la Illinois kwamba amekuwa akitaka kufuata utamaduni wa marais wa zamani kupitia kuondoka katika ulingo wa kisiasa.


Badala yake aliushutumu utawala uliopo wa Republican.


Akimjibu, rais Trump alisema katika mkutano wa mchango wa Republican huko fargo kaskazini mwa Dakota siku ya Ijumaa kwamba aliitazama hotuba ya mtangulizi wake ,”lakini nililala”. ”Bwana Obama alijaribu kujipatia sifa ya mambo mazuri yanayoendelea nchini”,Wanachama wa Democrats – ambao... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More