Hiki ndio kilichowafanya TRA kuamua kugawa bure Makontena ya Paul Makonda (+Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hiki ndio kilichowafanya TRA kuamua kugawa bure Makontena ya Paul Makonda (+Audio)

Ikiwa ni minada minne tayari imeshafanyika ya kutafuta mnunuzi wa makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sasa imeamua utaratibu wa kuyatoa bandarini na kuyagawa bure kwenye Taasisi za Serikali.


Makontena hayo yalikuwa yanapigwa mnada na kampuni ya udalali ya YONO na yamesheheni samani mbalimbali kama viti na meza, yalizuiwa kutolewa bandarini kutokana na kudaiwa kodi inayokadiriwa kuwa tsh bilioni 2.


The post Hiki ndio kilichowafanya TRA kuamua kugawa bure Makontena ya Paul Makonda (+Audio) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More