Hili ndio chimbuko la uadui wa Israeel, Iran - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hili ndio chimbuko la uadui wa Israeel, Iran

TANGU kufanyika kwa Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979, ambapo viongozi wa kidini wenye msimamo mkali walichukua mamlaka na kumaliza utawala wa Kifalme wa Reza Shah Pahlavi, Iran imekuwa ikiitisha kuangamizwa kwa Israel. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Iran husema taifa la Israel halina haki zozote za kuwepo, kwa sababu liliundwa kwenye ardhi ambayo ilitekwa ...


Source: MwanahalisiRead More