Himid Mao Mkami (Ninja) afafanua juu mechi na Yanga ambayo hatakuja kuisahau na style ya kuchomekea (AUDIO) - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Himid Mao Mkami (Ninja) afafanua juu mechi na Yanga ambayo hatakuja kuisahau na style ya kuchomekea (AUDIO)

  Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JAN.25.2018 SAA 03:56 USIKU
Nahodha na kiungo wa Azam FC Himid Mao Mkami (Ninja) amezungumza juu ya maswala kadhaa juu yake katika swala la
Soka. 
 Himid amezungumza juu ya mechi ya Yanga Sc ambayo hatakuja kuisahau,pia swala la style yake ya kuchomekea wakati wa mchezo,kuondoka kwa John Boko katika kikosi cha Azam Fc na mwenendo wa Azam Fc na hatma ya kucheza soka nje ya nchi.
BOFYA HAPO CHINI

.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates ... Continue reading ->
Source: Jamii na MichezoRead More