HIMID MAO NA WACHEZAJI WENZAKE WAPYA WA PETROJET - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HIMID MAO NA WACHEZAJI WENZAKE WAPYA WA PETROJET

Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami (kulia) akiwa na wachezaji wenzake wa Petrojet ya Misri, Ahmed Gamal na Ali mjini Cairo wiki hii kujiandaa na msimu baada ya kujiunga na timu hiyo Mei, mwaka huu akitokea Azam FC ya nyumbani


Source: Bin ZuberyRead More