Hisia Tatu (03) Unazopaswa Kuzitengeneza Kila Unapoianza Siku Yako Ili Iwe Siku Ya Mafanikio Makubwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hisia Tatu (03) Unazopaswa Kuzitengeneza Kila Unapoianza Siku Yako Ili Iwe Siku Ya Mafanikio Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio kwenye maisha huwa hayatokei kama ajali, huwa haitokei tu kwamba kwa mara moja unapata kila unachotaka. Mafanikio ni mchakato, na mafanikio kwenye maisha ni mkusanyiko wa siku moja moja ambazo umeziishi vizuri. Kama ilivyo kwenye kupanda mlima, hutaamka na kujikuta umefika kileleni, bali kila hatua unayopiga, inakusogeza karibu zaidi na kilele.... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More