HISIA ZANGU : Aussems achanganye za Mourinho na Pep akizingatia nidhamu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HISIA ZANGU : Aussems achanganye za Mourinho na Pep akizingatia nidhamu

SIMBA ikifungwa leo Jumanne imekwisha. Kwahiyo watakaa nyuma na kucheza kwa nidhamu kama Jose Mourinho wa zamani? Au watashambulia na kushinda mechi kama Pep Guardiola wa sasa? Au watachanganya vyote ili kusaka matokeo mazuri?


Source: MwanaspotiRead More