HISIA ZANGU : Kakolanya, hadithi ya Muosha huoshwa na mengi mengineyo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HISIA ZANGU : Kakolanya, hadithi ya Muosha huoshwa na mengi mengineyo

HALI tete Jangwani. Nilisikia kipa, Beno Kakolanya kavunja mkataba. Baadae ikasikika Kakolanya bado yupo yupo kidogo. Hata hivyo, tatizo la msingi linabakia pale pale.avunje mkataba au asivunje, hajalipwa mshahara wake wa miezi mitano.


Source: MwanaspotiRead More