HISIA ZANGU : Simulizi ya Chuji na Elius Gaspar Pelembe - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HISIA ZANGU : Simulizi ya Chuji na Elius Gaspar Pelembe

Simulizi la mastaa wawili niliowaona katika ujana wao na ubora wao Oktoba 2006 pale Maputo. Kiungo mmoja wa Msumbiji aliitwa Elias Gaspar Pelembe, lakini alijulikana zaidi kama Domingues. Alikuwa fundi sana. Alikuwa anavaa jezi namba 7.


Source: MwanaspotiRead More