Hispania waidhalilisha Croatia, huku Lukaku na Rashford wakitakata - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hispania waidhalilisha Croatia, huku Lukaku na Rashford wakitakata

Dakika 35 tu za kipindi cha kwanza zilitosha kuona aibu inayokuja kwa timu ya taifa ya Croatia katika mchezo wao wa leo zidi ya timu ya taifa ya Hispania kwenye michuano ya UEFA Nations League.


Dakika hizo 35 ilikuwa tayari Saul Niguez, Marco Asensio na bao la kujifunga la Lovre Kalinic yaliufanya mchezo kwenda half time kwa Hispania kuongoza kwa mabao 3-0.Croatia walirudi kipindi cha pili wakiwa na juhudi ya kutafuta kuchomoa lakini tabu ikawa pale pale baada ya kufungwa 3 zingine na kuwa 6 huku safari hii wafungaji wakiwa Rodrigo, Sergio Ramos na Isco.


Hiki ndio kipigo kikubwa zaidi kwa Croatia kuwahi kukipokea na wengi wameshangazwa kwa namna walivyotepeta hii leo haswa ukizingatia kwamba hawa ni washindi wawili wa michuano ya kombe la dunia.Katika mchezo mwingine Eden Hazard na Romelu Lukaku walifunga mabao mawili kwa timu ya taifa ya Ubelgiji na kuwafanya kuibuka kidedea kwa mabao 2-0 zidi ya Iceland.Kipindi cha pili Romelu Lukaku alifunga bao la 3. Kwa mabao haya ya Lukaku ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More