HISPANIA YAITANDIKA WALES 4-1 PALE PALE PRINCIPALITY, ALCACER AFUNGA MAWILI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HISPANIA YAITANDIKA WALES 4-1 PALE PALE PRINCIPALITY, ALCACER AFUNGA MAWILI

Wachezaji wa Hispania wakimpongeza mwenzao, Paco Alcacer baada ya kufunga mabao mawili dakika za nane na 29 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Wales kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Principality mjini Cardiff. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 19 na Marc Bartra dakika ya 74, wakati la Wales lilifungwa na Sam Vokes dakika ya 89 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More