HISTORIA YA UTALII ILIYOSAHAULIKA KATI YA TANZANIA NA MSUMBIJI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HISTORIA YA UTALII ILIYOSAHAULIKA KATI YA TANZANIA NA MSUMBIJI

Unapozungumzia nchi ya Msumbiji kuhusu kupata uhuru lazima utaigusa nchi ya Tanzania, Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyotoa mchango mkubwa katika kuhakikisha nchi ya Msumbiji inapata Uhuru. Makazi ya wapigania uhuru wa Msumbili yalikuwa kijiji cha Masonya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, leo hii kambi ya Masonya imekuwa ni Shule ya Sekondari ya wasichana, je unafahamu kama sehemu hiyo inahistoria ndefu iliyosahaulika basi fatilia katika Video Hii.


Source: Issa MichuziRead More