Hivi ndivyo Pogba na Davido walivyokutana kwenye bata Dubai (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hivi ndivyo Pogba na Davido walivyokutana kwenye bata Dubai (+Video)

Wakati ligi nyingi ziko kwenye mapumziko kwa sasa zikipisha michezo ya kimataifa,Mchezaji wa klabu ya Manchester United na taifa la Ufaransa Paul Pogba yuko mapumziko Dubai.Mchezaji huyo akiwa mapumziko baada ya kutoitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kutokana na majeruhi yake ameweza kukutana na msanii kutoka Nigeria Davido akiwa Dubai kwa ajili ya tamasha kubwa ambalo linatarajiwa kufanyika la One African Music 2018.
By Ally Juma.


The post Hivi ndivyo Pogba na Davido walivyokutana kwenye bata Dubai (+Video) appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More