Hivi ndivyo Rais Magufuli alivyouaga mwili wa marehemu Mzee Majuto (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hivi ndivyo Rais Magufuli alivyouaga mwili wa marehemu Mzee Majuto (+video)

Tazama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alivyowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho katika kuuaga mwili wa Mchekeshaji mkongwe nchini Tanzania, Mzee Majuto.The post Hivi ndivyo Rais Magufuli alivyouaga mwili wa marehemu Mzee Majuto (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More