Hizi hapa Shule 10 zilizo fanya vibaya zaid kidato cha sita, matokeo mengine yazuiwa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hizi hapa Shule 10 zilizo fanya vibaya zaid kidato cha sita, matokeo mengine yazuiwa

Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaje wake, Charles Msonde limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 huku kati ya hao 13 wakizuiwa matokeo kutokana na sababu kadhaa na wengine nane kufutiwa kabisa matokeo kwa sababu ya udanganyifu.Jumla ya watahiniwa 83,581 sawa na asilimia 97.58 ya watahiniwa 86.105 waliofanya mtihani wa kidato cha sita mwezi Mei mwaka 2018 wamefaulu. Ufaulu huo ni sawa na ongezeko la asilimia 1.53 kutoka asilimia 96.06 mwaka jana.


Bonyeza hapa kutazama matokeo ya kidato cha sita


Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 72,866 sawa na 95.52% wamefaulu katika daraja la kwanza hadi la tatu wakiwemo wasichana 30,619 sawa na 95.92% na wavulana 42,247 sawa na 95.23%. Waliopata daraja la kwanza ni 8,168.


Hata hivyo baraza la Mitihani la Taifa limefuta matokeo yote ya watahiniwa wanane waliobainika kufanya udanganyifu, kati yao wanne wakiwa ni watahiniwa wa shule na wanne watahiniwa wa kujitegemea huku... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More