Hizi hapa sifa za Mtemi Ramadhan ndani ya Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hizi hapa sifa za Mtemi Ramadhan ndani ya Simba

Mtemi, nyota wa zamani wa kimataifa wa Simba na Taifa Stars aliyekuwa kwenye kikosi kilichoeshiriki mara ya kwanza na mwisho katika Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 1980 ni kati ya wagombea 19 wanaoshiriki uchaguzi wa Simba.


Source: MwanaspotiRead More