Hizi ndio ajira ambazo zimelengwa kutolewa na Tume ya Ulaya katika bara la Afrika - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hizi ndio ajira ambazo zimelengwa kutolewa na Tume ya Ulaya katika bara la Afrika

Rais wa tume ya Ulaya Jean-Claude Juncker amependekeza kuwepo kwa muungano mpya na Afrika, kuboresha uhusiano wa kiuchumi na pia kuongeza uwekezaji na ajira.


European Commission President Jean-Claude Juncker speaks during a media conference at EU headquarters in Brussels on Monday, June 29, 2015. European Commission President Jean-Claude Juncker says he felt a betrayed by Greek Prime Minister’s Alexis Tsipras surprise call for referendum last weekend. (AP Photo/Virginia Mayo)

Kwenye hotuba yake ya kila mwaka Bw Juncker alisema mpango huo utasaidia kubuniwa mamilioni ya ajira barani Afrika katika kipindi cha miaka mitano inayokuja.


Maoni ya Bw Juncker yanahusu kile anachokiita biashara huru kati ya mabara. “Suala hapa ni kuboresha mikatati iliyopo sasa ambayo inazipa karibu nchi zore za Afrika uwezo wa kufikia masoko ya Ulaya bila kodi.”Pendekezo hilo pia linawapa fursa zaidi watu kutoka afrika kuongeza maarifa kwa mfano kwa kusomea viuo vikuu vya Ulaya.EU inapendekeza Jumla ya eu... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More