Hizi ndio haki za wanachama Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hizi ndio haki za wanachama Simba

JANA Jumatatu tuliona jinsi ambavyo mwanachama wa Simba anavyoweza kuchukuliwa hatua endapo atapeleka masuala ya michezo hususan soka mahakamani. Pia, Katiba hiyo inaeleza namna ambavyo mwanachama anaweza kuwajibishwa kwa kwenda kinyume na kanuni ikiwa ni pamoja na kuvuliwa uanachama ndani ya Simba Sports Cllub Company Limited. Leo Jumanne tunaendelea na uchambuzi wa Katiba Mpya ya Simba ambayo inaelezea, jinsi muundo mzima wa klabu utakavyokuwa na taratibu zake.


Source: MwanaspotiRead More