HIZI NI NYIMBO 14,AMBAZO HUTAJUTA KUZITAZAMA NA KUSIKILIZA (VIDEO) - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HIZI NI NYIMBO 14,AMBAZO HUTAJUTA KUZITAZAMA NA KUSIKILIZA (VIDEO)

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JAN.30.2018 SAA 12:20 JIONI


 Nimekuwekea nyimbo 14 kali na ambazo zinafavya vizuri kwa sasa duniani  kote .


1 " Mi Gente " (kwa Kiingereza: "Watu Wangu") ni wimbo ulioandikwa na mwimbaji wa Colombia J Balvin na mwimbaji wa Kifaransa na mtayarishaji Willy William . Ulitoka tarehe 30 Juni 2017 chini ya  Scorpio Music na Universal Music ya Kilatini . 

Ni remix ya wimbo wa Willy Wiliam "Voodoo Song".  huo wimbo ulitumiwa na redio moja ya Marekani ya kisasa  18 Julai 2017.(NAONA HAPO NDIPO BEYONCE ALIPOISIKI)

VIDEO NA BEYONCE

...>>...


Remix yake aliyoshirikishwa  Beyoncé ilitolewa  tarehe 28 Septemba 2017. J Balvin na Willy William waliacha Remix sita zaidi ya "Mi Gente" mnamo 20 Oktoba 2017 na Steve Aoki , Alesso , Cedric Gervais , Dillon Francis , Sunnery James & Ryan Marciano , na Henry Fong.


VIDEO- J Balvin na Willy William "Mi Gente"2. " Man's Not Hot" ni wimbo wa mwigizaji wa Kiingereza Michael Dapaah . Ni nyimbo yake ya kwanza iliyotolewa chini ya jina... Continue reading ->Source: Jamii na MichezoRead More