Hofu ya mechi yampandisha presha kocha Mgambo Shooting - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hofu ya mechi yampandisha presha kocha Mgambo Shooting

 WAKATI mashindano mbalimbali nchini yakiwa yamesimama kupisha kalenda ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Kocha wa Mgambo Shooting, Elias Kija amesema kuwa timu yake haitapumzika kutokana na matokeo waliyonayo badala yake ni matizi mwanzo mwisho.


Source: MwanaspotiRead More