Hofu yatanda Genk, Samatta akisubiri majibu ya MRI - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hofu yatanda Genk, Samatta akisubiri majibu ya MRI

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta amefanyiwa uchunguzi wa kitabibu wa goti aligongwa wakati akiongoza Taifa Stars dhidi ya Burundi kwa mikwaju ya penalti 3-0.


Source: MwanaspotiRead More