Hospitali matatani kwa kumuambukiza mgonjwa VVU - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hospitali matatani kwa kumuambukiza mgonjwa VVU

HOSPITALI moja nchini Uingereza inayofahamika kwa jina la Pinderfields imeingia matatani baada ya kutuhumiwa kutaka kumsabishia mgonjwa Paul Batty (52) kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Batty aliyelazwa hospitalini hapo wiki mbili zilizopita, alilazimika kupima mara kadhaa hospitalini, ili kubaini kama amepatwa na maambukizi ya VVU baada ya kugundua kwamba ...


Source: MwanahalisiRead More