Hospitali ya Bugando yaadhimisha siku ya figo duniani kwa kupima afya kwa wananchi. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hospitali ya Bugando yaadhimisha siku ya figo duniani kwa kupima afya kwa wananchi.

Wananchi wa jijini Mwanza wamejitokeza katika kupima afya katika maadhimisho ya Figo Duniani katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando .
Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku Figo Duniani Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Bahati Wajanga amesema kuwa ugonjwa wa figo unasumbuliwa na magojwa yasiyoyakuambukiza ya sukari na shinikizo la damu.
Amesema kuwa tafiti zinaonyesha kwa magonywa yasiyoyakuambukiza kukua nchini na hiyo ni kutokana mfumo wa maisha ya ulaji na kutofanya mazoezi ambapo katika maadhimisho haya ni kutoa elimu kwa wananchi pamoja na kufundisha suala la afya katika chuo chetu .
Amesema katika maadhimisho ya siku mbili za Machi 13 na 14 ni wananchi wajitokeze katika kupima afya zao kwani kinga ni bora kuliko tiba,Amesema kauli mbiu ya maadhimisho ni Afya ya Figo kwa kila mmoja Popote ikiwa na maana huduma za afya za Figo zinatolewa popote pale kwa mwananchi alipo.
"Bugando tumejipanga katika kutoa huduma kwa wananchi kwa magonjwa yote pamoja na kutoa elimu kuhusiana na ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More